Job 3:8

8 aWale wazilaanio siku wailaani hiyo siku,
wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.
Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa.

Copyright information for SwhNEN